UKAWA inaudwa na vyama vya NLD, NCCR-Mageuzi , CUF na CHADEMA
Viongozi wakuu wa vyama vinavyounda UKAWA walikubaliana tangu mwaka 2014 kua katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 UKAWA itasimamisha Mgombea mmoja katika kila ngazi ya uchaguzi kuanzia Raisi wa Jamhuri ya Muungano, Raisi wa Zanzibar, MBunge, Mwakilishi, na Diwani katiak maeneo yote ya nchi
Ifuatayo ni sehemu ya nyaraka waliyoitoa UKAWA ikionesha vigezo vitakavyotumiwa na umoja huo kugawana kata katika uchaguzi mkuu
0 comments: