Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Raisi 2015
Afisa uchaguzi mwandamizi Deogratus Nsawagwanko akimkabizi mgombea uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutpitia chama cha wakulima(AFP) Mhe. Omari Mohamed Sombi leo katifa Ofisi za Tume ya Uchaguzi Dar es salaam
Mhe. Sombi akisimsikiliza Afisa wa Tume ya Uchaguzi |
Mgombea Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Omari Mohamed Sombi akionesha fomu ya kuwania nafasi hiyo kwa waandishi wa habari mara baada ya kutoka kuchukua fomu hiyo katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dar es salaam
0 comments: