Mfuko wa utoaji mikopo (Online System) TANZANIA-LOAN kupitia TANZANIA-LOAN Tanzania siku ya jana imeongeza BAJAJI na BODA BODA takribani 220 (Boda boda zipo 110 na Bajaji zipo 110) hadi kufikia leo idadi ya waliojiunga na TANZANIA-LOAN na kupatiwa mikopo pamoja na bajaji na boda boda imefikia 200 hivyo bajaji na boda boda zimebakia 20
Katibu mkuu wa TANZANIA-LOAN ndugu MSEMWA KIZOTA ametoa wito kwa wote wanaohitaji mikopo na kuadhinia kupata bajaji hizi kwa kuwaomba kuwahi kujiunga na TANZANIA-LOAN kabla mzigo wa Bajaji na Boda boda haujakwisha.
Baada ya Kukutana na Ujumbe huu nilitembelea tovuti yao na hivi ndio vitu vya msingi ukitaka kuchulua mkopo katika mfuko huo
VIWANGO VYA KUKOPA NA AKIBA ZAKE UNAZOTAKIWA KUWEKA NA MAREJESHO YAKE KILA MWEZI.
Vifuatavyo ni Viwango vya mikopo unavyotakiwa kukopa pamoja na Akiba zake.
Mikopo inatolewa kulingana na akiba ya Mwanachama atakayo weka, akiba ya mwanachama atakayoweka itazidishwa mara kumi na kupata kiwango cha mkopo atakacho kopeshwa. Viwango vya kuweka akiba vinaanzia Tshs. 200,000 (LAKI MBILI) Tunaanza kukopesha kuanzia Million mbili mwisho wa kukopesha Million kumi
Mikopo inatolewa kulingana na akiba ya Mwanachama atakayo weka, akiba ya mwanachama atakayoweka itazidishwa mara kumi na kupata kiwango cha mkopo atakacho kopeshwa. Viwango vya kuweka akiba vinaanzia Tshs. 200,000 (LAKI MBILI) Tunaanza kukopesha kuanzia Million mbili mwisho wa kukopesha Million kumi
(i)UKIWEKA AKIBA YA SHILINGI LAKI MBILI (200,000x10=2,000,000)
Ukijaza fomu na ukaweka akiba ya Tshs. 200,000 (LAKI MBILI) akiba yako tutaizidisha mara kumi na utakopeshwa Tshs. 2,000,000 (MILLION MBILI) na marejesho yake utarejesha kila mwezi Tshs. 110,000 (LAKI MOJA NA ELFU KUMI) kwa muda wa miezi Ishirini.
(ii)UKIWEKA AKIBA YA SHILINGI LAKI TATU (300,000x10=3,000,000)
Ukijaza fomu na ukaweka akiba ya Tshs. 300,000 (LAKI TATU) akiba yako tutaizidisha mara kumi na utakopeshwa Tshs. 3,000,000 (MILLION TATU) na marejesho yake utarejesha kila mwezi Tshs. 110,000 (LAKI MOJA NA ELFU KUMI) kwa muda wa miezi Thelathini.
(iii)UKIWEKA AKIBA YA SHILINGI LAKI NNE (400,000x10=4,000,000)
Ukijaza fomu na ukaweka akiba ya Tshs. 400,000 (LAKI NNE) akiba yako tutaizidisha mara kumi na utakopeshwa Tshs. 4,000,000 (MILLION NNE) na marejesho yake utarejesha kila mwezi Tshs. 110,000 (LAKI MOJA NA ELFU KUMI) kwa muda wa miezi Arobaini.
(iv)UKIWEKA AKIBA YA SHILINGI LAKI TANO (500,000x10=5,000,000)
Ukijaza fomu na ukaweka akiba ya Tshs. 500,000 (LAKI TANO) akiba yako tutaizidisha mara kumi na utakopeshwa Tshs. 5,000,000 (MILLION TANO) na tutakupatia zawadi ya chombo cha moto BODA BODA moja mpya na marejesho yake utarejesha kila mwezi Tshs. 110,000 (LAKI MOJA NA ELFU KUMI) kwa muda wa miezi Hamsini.
(v)UKIWEKA AKIBA YA SHILINGI LAKI SITA (600,000x10=6,000,000)
Ukijaza fomu na ukaweka akiba ya Tshs. 600,000 (LAKI SITA) akiba yako tutaizidisha mara kumi na utakopeshwa Tshs. 6,000,000 (MILLION SITA) na tutakupatia zawadi ya chombo cha moto BODA BODA moja mpya na marejesho yake utarejesha kila mwezi Tshs. 110,000 (LAKI MOJA NA ELFU KUMI) kwa muda wa miezi sitini.
(vi)UKIWEKA AKIBA YA SHILINGI LAKI SABA (700,000x10=7,000,000)
Ukijaza fomu na ukaweka akiba ya Tshs. 700,000 (LAKI SABA) akiba yako tutaizidisha mara kumi na utakopeshwa Tshs. 7,000,000 (MILLION SABA) na tutakupatia zawadi ya chombo cha moto BODA BODA moja mpya na marejesho yake utarejesha kila mwezi Tshs. 110,000 (LAKI MOJA NA ELFU KUMI) kwa muda wa miezi Sabini.
(vii)UKIWEKA AKIBA YA SHILINGI LAKI NANE (800,000x10=8,000,000)
Ukijaza fomu na ukaweka akiba ya Tshs. 800,000 (LAKI NANE) akiba yako tutaizidisha mara kumi na utakopeshwa Tshs. 8,000,000 (MILLION NANE) na tutakupatia zawadi ya chombo cha moto BAJAJI moja mpya na marejesho yake utarejesha kila mwezi Tshs. 110,000 (LAKI MOJA NA ELFU KUMI) kwa muda wa miezi Themanini.
(viii)UKIWEKA AKIBA YA SHILINGI LAKI TISA (900,000x10=9,000,000)
Ukijaza fomu na ukaweka akiba ya Tshs. 900,000 (LAKI TISA) akiba yako tutaizidisha mara kumi na utakopeshwa Tshs. 9,000,000 (MILLION TISA) na tutakupatia zawadi ya chombo cha moto BAJAJI moja mpya na marejesho yake utarejesha kila mwezi Tshs. 110,000 (LAKI MOJA NA ELFU KUMI) kwa muda wa miezi Tisini.
(ix)UKIWEKA AKIBA YA SHILINGI MILLION MOJA (1,00000,000x10=10,000,000)
Ukijaza fomu na ukaweka akiba ya Tshs. 1,000,000 (MILLION MOJA) akiba yako tutaizidisha mara kumi na utakopeshwa Tshs. 10,000,000 (MILLION Moja) na tutakupatia zawadi ya chombo cha moto BAJAJI moja mpya pamoja BODA BODA moja na marejesho yake utarejesha kila mwezi Tshs. 110,000 (LAKI MOJA NA ELFU KUMI) kwa muda wa miezi Tisini.
Kiwango kikubwa cha Mwisho cha kukopa ni Tshs. 10,000,000 (MILLION KUMI) akiba yake Tshs. 1,000,000 (MILLION MOJA)
TUNATOA ZAWADI ZA BAJAJI NA BODA BODA KWA WATAKAO CHUKUA MKOPO KUANZIA MILLION TANO MPAKA MILLION KUMI.
Kwa yoyote atakae jaza fomu na akaweka akiba kuanzia LAKI TANO, LAKI SITA, LAKI SABA, LAKI NANE, LAKI TISA, MILLION MOJA atapatiwa zawadi ya boda boda au bajaji kulingana na kiwango cha mkopo
DHAMANA YA MKOPO
Kwa yoyote ambae ni mara yake ya kwanza kujiunga anawajibika kuweka dhamana na akiba ili apatiwe mkopo wake.
Dhamana itatolewa kama security kwa kila atakae jiunga na mfuko huu wa focus vicoba, dhamana inategemea na kiwango cha mkopo.
kwa watakao hitaji mkopo kuanzia Million Moja hadi Million Nne dhamana watalipia Tshs. 450,000 (LAKI TANO NA ELFU SITINI)
Kwa watakao hitaji mkopo kuanzia Million Tano (5,000,000) mpaka Million kumi (10,000,000) dhamana watalipia Tshs. 860,000 (LAKI NANE NA ELFU SITINI)
Nilazima kwa kila atakae jiunga kwa mahitaji ya mkopo aweke akiba na dhamana. Mkopo hautatolewa iwapo mteja atajiunga kwa kujaza fomu na kushindwa kulipia akiba na dhamana ya mkopo anao hitaji. Kila atakae jiunga ni lazima aweke dhamana
JINSI YA KUTUMA AKIBA NA MAREJESHO.
Nakala hii imeandaliwa kwa msaada wa tovuti ya http://www.vicoba-tz.wapka.mobi/kama ilivyokua tarehe 16/8/2015 saa kumi na moja jioni.
Kwa maelekezo ,taarifa nyingine na jinsi ya kujiunga tembelea tovuti yao hapo chini
Nzuri sana sasa zamana ni pesa tu hakuna kitu kingine
ReplyDeleteMawasiliano ya simu mbona hakuna . Maana website yenu kwangu inagoma .
ReplyDeletewezi wakubwa nyie hivi kwaharaka haraka tuu nyie mngekubali kutoa hela ndio upate hela kubwa acheni usenge hela ngumu kama kweli mnakopesha laki kwa milioni mm nipeni laki tisa hiyo Laki moja muikate huko huko washenzi wakubwa nyie mtapumuliwa au marinda yamewaisha mmeamia huku
ReplyDeleteGive me a loan
DeleteWezi hao
ReplyDeleteWajinga kweli, naona wanatutoa akili mchana kweupe, anakwambia weka kwake 650000 akupe 1000000 maana yake kakupa 350000 kwa uzito wa riba ya mali yako wakati huohuo pesa yako bado inamwingizia faida kwa mtego pia wa pikipiki. pumbavu zenu.
ReplyDelete