Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana (2005-2010) jijini Mwanza
kwa tiketi cha Chama cha Mapinduzi(CCM) Lawrence Masha leo hii amejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jijini Arusha wakati wa kumtabulisha mgombea wa UKAWA na CHADEMA mheshimiwa Edward Lowassa.

Masha amewahi kushika nyadhifa mabalimbali katika Serikali ya Chama cha Mapinduzi kabla ya kushindwa kutetea kiti chake cha ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ambapo alishindwa na mgombea kutoka CHADEMA
Nyadhifa alizowahi kushika nyakati tofauti tofauti:-
· Naibu waziri wa Wizara Nishati na Madini
· Naibu Waziri wa wizara ya Mambo ya Ndani
· Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
0 comments: