Chelsea ilishuhudia mchezaji wake Thibaut Courtois akitolewa nje kwa kadi nyekudu baada ya kumchezea faulo Gomis
Oscar aliipatia Chelsea goli la kwanza la Kuongoza kabla ya Ayew kuisawazishia timu yake
Ayew akiipatia Swansea goli la kwanza la kusawazisha |
Federico Fernandez alishinda goli la pili kwa Chelsea baada ya kumgongesha Willians beki wa Swansea
Diego Costa akisikitika baada ya kukosa goli |
Hata hivyo Gomis aliisawazishia Swansea goli la pili kupelekea sare ya 2-2
Chelsea ilicheza pungufu kwa Zaidi ya saa moja na nusu lakini Swansea hawakuweza kutumia nafasi hiyo vizuri
0 comments: