Magufuli akiwa Njombe
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa kijiji cha Kikondo kata ya Ilungu Mbeya vijijini akiwa njiani kuelekea mkoa wa Njombe .
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa kijiji cha Ujuni Makete mkoani Njombe
Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya Watu wenye ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) Amon Anastaz Mpanju akisalimia wakazi wa Iwawa kwenye mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika stendi ya Mabehewani Makete.
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Ikonda kata ya Tandala ambapo aliahidi kumaliza matatizo ya msingi ya wananchi hao ikiwa kujengwa kwa barabara ya lami, kujenga visima vya maji, elimu bure mpaka kidato cha nne
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Wanging'ombe mkoani Njombe kwenye mkutano wa Kampeni za CCM ambapo leo ameingia mkoa wa tatu.
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea Ubunge wa Jimbo la Wanging'ombe Eng.Gerson Lwenge ilani ya uchaguzi ya CCM
gombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Njombe kwenye uwanja wa sabasaba ambapo aliwahakikishia serikali yake itakuwa ya wachapa kazina kuleta maendeleo kwa wananchi.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula (kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Ndugu Deo Sanga na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Wiliam Lukuvi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wake katika wilaya ya Wanging'ombe
0 comments: