FEDE ni nani nilijiuliza baada ya kukutana na moja ya Katuni zake mtandaoni .FEDE ni sahihi ambayo anaitumia ndugu Nestory Fedeliko kwenye katuni zake
Baada ya kutafuta mtandaoni nilikutana na blogu yake ambayo imejaa katuni zenye ubunifu mkubwa.
Kazi ya sanaa inahitaji kipaji, umakini na ubunifu mkubwa ili kuweza kufikisha ujumbe jinsi ipasavyo. vitu ambavyo FEDE anavyo
.
Anachofanya
Katunisti FEDE anashughulika na:-
Cartoons + illustrations
motion + Graphics Design
2D + 3D Animation
Video and Film
Pia Unaweza kujipatia T-shirts Kali
Kwa mawasiliano nae tembelea www.artsfede.blogspot.com
Baadhi ya Kazi zake
0 comments: