Ushindakani katika makampuni ya mawasiliano umezidi kuongezeka kitu ambacho kimechangia kwa kiasi kikubwa kupungua kwa gharama za mawasiliono ukilinganisha na ilivyoku miaka ya nyuma
unapiga *149*68#
Nilivyo jaribu kwenye simu yangu sikufanikiwa nilipouliza nikaambiwa kua watu wanaoweza kujiunga na ofa hiyo ni wale tu walio pokea ujumbe mfupi(sms) wa ofa hiyo kutoka Vodacom..
Kama wewe ni miongoni ambao mmepata ofa hiyo Hongera. Kazi ni Kwako
0 comments: