Mtangazaji wa BBC Dira ya Dunia atembelea ofisi za Michuzi Blogu
Mtangazaji nguli wa KipindI cha BBC Idhaa ya kiswahili cha Dira ya Dunia, Salimu Kikeke alipotembelea katika Ofisi za Michuzi Media Group
Salimu Kikeke akiwa na Mkurugenzi mkuu wa Michuzi Media Group Muhidini Issa Michuzi
Salimu kikeke akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Michuzi Media Group
0 comments: