Hakika ilikua ni meche ya kusisimua wakati mashetani wekundi wakijichukulia pointi tatu zao za kwanza dhidi ya Spurs kwa ushind wa 1-0
Mancherster United iliyokua nyumbani katika uwanja wa Old Traford ili lipata goli hilo mnamo dakika ya 22 baada ya beki wa Spirs Kyle Walker kujifunga mwenyewe
Mchezaji wa Mancherster Unitet Depay (katikati) akimpongeza Rooney baada ya kuongoza kwa 1-0 |
Walker akimuangalia kipa wa Spurs akishindwa kuia mpira ulioingia golini na kuipa Man U ushisdi wa 1-0 |
Nyota mjerumani Bastian Schweinsteiger akibadilishana na Michael Carrick dakika ya 60 |
Ingawa Mancherster Imeibuka na ushindi huo kocha Van Gaal bado hakufurahia kiwango walichocheza
JE MANCHERSTER UNITED WANAWEZA KUCHUKUA UBIGWA? TOA MAONI YAKO...
0 comments: