ACT Wazalendo: Profesa Kitila Mkumbo Ndiye Mgombea Wetu wa Uraisi

code         No comments

CHAMA Cha ACT-Wazalendo wamechukua fomu kwa ajili ya mgombea urais atakayepeperusha  bendera katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam baada ya kuchukua fomu ya urais,Katibu Mkuu wa Chama hicho,Samson Mwigamba amesema kamati kuu imempitisha Profesa Kitila Mkumbo kuperusha bendera katika uchaguzi utaofanyika mwishoni mwa Oktoba mwaka huu.
Profesa Kitila Mkumbo  akiongea na waandishi wahabari

Mwigamba amesema kuwa wamejipanga katika kushinda uchaguzi huo kutokana na watu waliokupwepo katika chama hicho ni wazalendo wa vitendo.

Amesema kuwa watu amesema chama chao ni kidogo lakini wameweza kusimamisha wagombea wa ,Udiwani,pamoja na ubunge ambapo katika vyama vyote vilivyoanizisha kwa kipindi kifupi vilishindwa kufanya hivyo.
Aidha amesema wanamuamini Profesa Mkumbo kutokana na malengo ya uanzishaji wa chama hicho kwa kutoa mchango mkubwa hivyo lengo la chama limetimia.

Amesema ambao wanahamia katika Chama hicho watapimwa uadilifu wao katika kuweza kuwatumikia wananchi wanao wachagua katika nafasi mbalimbali.

ACT-Wazalendo wamechukua fomu kwa kuwa idadi ndogo kuliko vyama vyote na utulivu ulitawala katika ofisi za tume ya Tifa ya Uchaguzi (NEC).

Mwakilishi wa chama cha ACT WAZALENDO na Katibu mkuu  wa chama ACT WAZALENDO, Samsoni Mwigamba akipewa maelekezo na Afisa tawala wandamizi wa Tume ya uchaguzi (NEC),George Baasha kuhusiana na vitu vinavyotakiwa kwenye uchaguzi mkuu pamoja na kampeni zitakazo anza hivi karibuni.

Katibu mkuu  wa chama ACT WAZALENDO, Samsoni Mwigamba akimwakilisha Dkt. Kitika Mkumbo  kupokea fomu ya kugombea nafasi ya urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT WAZALENDO amechukua fomu hizo leo katika ofisi za Tume ya uchaguzi (NEC) leo jijini Dar es Salaam.

 Katibu mkuu  wa chama ACT WAZALENDO, Samsoni Mwigamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya ofisi za Tume ya uchaguzi (NEC) leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii

Published by code

Nulla sagittis convallis arcu. Sed sed nunc. Curabitur consequat. Quisque metus enim venenatis fermentum mollis. Duis vulputate elit in elit. Si vous n'avez pas eu la chance de prendre dans tous.
Follow us Google+.

0 comments:

© 2014 punguzo . Designed by Bloggertheme9
Powered by Blogger.