Kuelekea Uchaguzi mkuu mwezi wa kumi 2015 Tume ya Taifa ya Uchaguzi imepata Mkurungezi mpya wa uchaguzi baada ya aliyekua Mkurungezi wa uchaguzi kumaliza mda wake
Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akiongea na Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey wakati akikabidhi ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akimsikiliza Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey wakati akikabidhi ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uchaguzi aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akikabidhi nyaraka za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey wakati akikabidhi ofisi ya NEC jijini Dar es Salaam.
0 comments: