Hakika Uchaguzi wa mwaka huu utakua wa kipekee na wakihistoria. Leo tumeshuhudia kundi kubwa la watanzania wanao muunga mkono Lowassa wakimsindikiza mwanasiasa huyo mkongwe kwenda kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Uraisi katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Hii sio mara ya Kwanza kwa waziri mkuu mstaafu huyo kufanya tukio la kihistoria kama hilo.
Alifanya Arusha alipokua akitangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Urais kupitia CMM.
Leo amerudia tena Dar es salaam
Tumekukusanyai picha mbali mbali zinazo onesha matukio hayo tofauti.
Zimeeanza za Arusha na mwishoni zipo za Dar es salaam akiwa UKAWA
ALIVYO KUSANYA WATU ARUSHA AKIWA CCM
ALIVYOKUSANYA WATU DAR ES SALAAM AKIWA UKAWA
0 comments: