Leo ndio Leo Lowassa kuchukuo fomu ya Uraisi NEC

code         No comments

Unaweaza Kusema Leo ndio Leo ambapo aliyekua Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa na mgombea uraisi kwa tiketi ya CHADEMA na UKAWA leo sasa tatu asubuhi ataambatana na wenzake kwa safari ya kewnda kuchukua fomu ya kugombea urais katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi


Lowassa alipitishwa kugombea nafasi hiyo baada ya kuhama Chama Cha Mapinduzi CMM ambapo hakufanikiwa kupitishwa kwenye kura za maoni

Mwnasiasa hUyo mkongwe hapa nchini atawania nafsi hiyo ya Uraisi katika uchaguzi mkuu mwaka huu utakaofanyika mwenzi Oktoba .

UsipitweTume ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza Ratiba ya Uchaguzi Mkuu wa waka 2015

Naye Ndugu  Juma Haji Duni kutoka CUF ndiye atakua ni mgombea mwenza katika nafasi hiyo ya juu zaidi katika Serekari ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Taarifa kutoka  UKAWA

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA unapenda kuwatangazia watanzania wote kuwa Tarehe 10/8/2015 Mgombe urais kupitia CHADEMA na UKAWA

Edward Lowassa na mgombea mwenza Juma Haji Duni watachukua fomu ya kugombea urais kwenye ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi,

Makutano yataanza Makao makuu ya CUF Ilala saa 3 asubuhi kuelekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kumalizia Makao Makuu ya CHADEMA kinondoni.

Akiongea na waandishi wa habari kwa kuwawakilisha makatibu wakuu wa vyama vinavyounda UKAWA (katikati) ni Salum Mwalim aliyekaimu nafasi ya katibu mkuu CHADEMA (kulia kwake)Frorian R Mbeo mwakilishi wa katibu Mkuu wa NCCR (kushoto kwake)Tozzi Matwanga katibu mkuu NLD.

Umeipenda hii taarifa? usisite kushare facebook na kutoa maoni yako hapo chi

Published by code

Nulla sagittis convallis arcu. Sed sed nunc. Curabitur consequat. Quisque metus enim venenatis fermentum mollis. Duis vulputate elit in elit. Si vous n'avez pas eu la chance de prendre dans tous.
Follow us Google+.

0 comments:

© 2014 punguzo . Designed by Bloggertheme9
Powered by Blogger.