Mchezaji huyo wa kimataifa hakuweza kuambatana na timu yake ya Real Madrid kushiriki kombe la Audi wiki hii
Lakini kocha Rafael Benitez anaategemea mchezaji huyo wa zamani wa Mancherster United kuwa fiti katika mechi yao ya ufunguzi wa ligi watakayo kipiga dhidi ya Sporting Gijon on August 23.
“Cristiano alikua na changamoto lakini madaktari wamekua nae kwa karibu” alisema
“Atakua vizuri wiki ijayo na nafikiri ataweza kucheza mechi ya ufunguzi”
“katika mechi za maandalizi ya msimu wachezaji wawili wamepata majeruhi, wengine wamekua na maumivu na uchovu wa kawaida tu na sio majeruhi”
“Naona timu inaendelea vizuri kujijenga siku hadi siku”
Benitez amethibitisha pia dhamira yake ya kutaka kumtumia mchezaji kinda Martin Odegaard katika mechi watakayo pambana na Valerenga
Martin Odegaard anamiaka 16 |
“Badoni ana umri mdogo, anakipaji, aliongezea “Atacheza bado sijajua kama ni dakika zote 90 au kama ataingia kipindi cha pili. Bado ni mapema sana ni vizuri kwenda hatua kwa hatu bila kufanya pupa”
0 comments: