Mabasi Yaendayo Kasi Yaanza Kazi Dar es salaam; Leo Ofa Kimara - Kivukoni Bureeee!!!

code         No comments

Mabasi yaendayo kasi (BRT) katika Jiji la Dar es Salaam yanaanza leo na abiria watasafirishwa Kimara hadi Kivukoni Bure katika uzinduzi huu


moja ya basi la mwendo kasi likikatiza mtaa wa Lumumba ikiwa sehemu ya majaribio ya mabasi hayo ambayo yanaaminika yataondoa kabisa tatizo la usafiri katika jiji la Dar es Salaam

Mabasi yakisafirisha watu Dar leo

Published by code

Nulla sagittis convallis arcu. Sed sed nunc. Curabitur consequat. Quisque metus enim venenatis fermentum mollis. Duis vulputate elit in elit. Si vous n'avez pas eu la chance de prendre dans tous.
Follow us Google+.

0 comments:

© 2014 punguzo . Designed by Bloggertheme9
Powered by Blogger.