EPA
Aliyekuwa Mshitakiwa wa Kesi ya EPA ,Rajabu Maranda akitoka nje ya Mahakama ya Kisutu baada ya kuachiwa huru jijini Dar es Salaam jana.Picha na Said Khamis.
Washtakiwa walioachiwa huru ni Kada wa CCM, Rajabu Maranda, mfanyabiashara Ajay Somani na wafanyakazi wa BoT, Ester Komu, Bosco Kimela na Iman Mwakosya ambao walikuwa wakikabiliwa na mashtaka ya kula njama, kughushi, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, kuwasilisha nyaraka za uongo na kusababisha hasara.
0 comments: