Nape Nauye Azushiwa kung'olewa Nafasi yake ya Ukatibu wa Itikadi na Uenezi CCM

code         No comments

Taarif Kutoka CCM
Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) akiwa kwenye kikao cha Kamati Kuu Maalum leo tarehe 17 Agosti 2015,kinachoendelea kwenye Makao Makuu ya Chama,Ofisi Ndogo Lumumba.
  
Ndugu Msomaji, 

Kuna taarifa za uongo zimeenezwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii zikisema kuwa Kamati kuu ya CCM imemuweka kando Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye kutoka katika nafasi hiyo na kumteua Ndugu John Chiligati kushika wadhifa huo.

Taarifa hizo si za kweli kwani Kamati kuu haijafanya uamuzi wowote wenye mlengo huo. 

Wahariri naomba mpuuze taarifa hizo za uzushi zenye lengo baya na zinazoandaliwa kwa makusudio maksusi


Published by code

Nulla sagittis convallis arcu. Sed sed nunc. Curabitur consequat. Quisque metus enim venenatis fermentum mollis. Duis vulputate elit in elit. Si vous n'avez pas eu la chance de prendre dans tous.
Follow us Google+.

0 comments:

© 2014 punguzo . Designed by Bloggertheme9
Powered by Blogger.